Jumatatu, 21 Desemba 2015

SEPP BLATTER NA PLATINI PRESHA TUPU!

Baada ya uchunguzi wa kina kufanyika na wachunguzi wa shirikisho la soka ulimwenduni FIFA wameamua kutoa adhabu ya kuwafungia miaka nane kutojihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa soka ulimwenguni FIFA Sepp Blatter na Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya Michel Platini.Blatter na Platini wamekumbana na adhabu hiyo baada ya kukutwa na hatia ya kufanya matumizi ya fedha kinyume na taratibu. Blatteranatuhumiwa kufanya malipo ya milioni 2 zaUswiss mwaka 2011 kwenda kwa Platini kama Rais wa FIFA malipo ambayo ni kinyume na taratibu na ameshindwa kuthibitisha zilitumika kufanyia nini.Blatter mwenye umri wa miaka 79 amefungiwa miaka nane kutojihusisha na masuala ya soka sambamba na faini ya 50,000 za Uswisskutokana na kushindwa kuheshimu sheria zaFIFA, wakati Platini amepigwa faini ya 80000 zaUswiss kutokana na kuhusika katika mchakato huo.“Samahani yangu binafsi kwa FIFA na kwa mchezo wa mpira wa miguu, nitapambana kwa ajili yangu na FIFA, nafungiwa miaka nane kwa kosa lipi? Nitakutana na mwanasheria wangu kujadili kipi sahihi na kipi sio sahihi na kipi ni haki. Tutakata rufaa tena” >>> Blatter

Ijumaa, 6 Novemba 2015

MAJI YA KUNYWA NAYO NI SUMU (UKI OVERDOSE )

The conventional guideline of drinking eight glasses of water a day has proven to be a myth. But there is such thing as drinking too much water. Water intoxication occurs when a person drinks so much that the water dilutes the concentration of sodium in the blood, creating an electrolyte imbalance.Water intoxication, known as hyponatremia, is mostly a risk for endurance athletes. A 2005 article in the New England Journal of Medicine found that 13 percent of 488 runners in the 2002 Boston Marathon developed hyponatremia from drinking too much water. According to the researchers, a relatively simple strategy to reduce that risk would be for runners to weigh themselves before and after training runs, in order to gauge their overall fluid intake and ensure they do not drink too much water during exercise.

KAROTI AU JUICE YAKE INAUA (UKI OVERDOSE)

Carrots are full of vitamins, minerals and fibers that are good for your health. But eating too many carrots can bring in too much beta-carotene the molecule responsible for carrots' bright orange hue and a precursor of vitamin A. This can lead to excess blood carotene which can discolor the skin.Known as carotenemia, the condition occurs because carotene is a fat-soluble molecule. Excessive quantities of it tend to accumulate in the outermost layer of skin, resulting in yellow- or orange-pigmented skin, particularly in the palms, soles, knees and nasal area.Although carotenemia occurs mostly in infants when they are fed too much pureed carrot baby food, it can occur in adults as well. In a case report published in The Journal of Dermatology in 2006, a 66-year-old woman's skin turned yellow-orange after she took too many carotene oral supplements. One cup of raw chopped carrots has about 15 mg of carotene, according to the U.S. Department of Agriculture's Nutrient Database, so you'd need to eat half a cup of chopped carrots every day for months, in order to turn to her shade of yellow.

Jumanne, 29 Septemba 2015